Kwanza niwaombe radhi kwa usumbufu wowote utakaokuwa umejitokeza miongoni mwenu.
Ila kwa upande mwingine nishukuru.
Tar 9 June 2012, haitawezekana kufanya shughuli yetu kwakuwa nimepata kazi mkoani,
nje ya Dar es salaam,,
Kama mnavyojua Sanya Sanya ndio inayoniweka mjini.
Hivyo siwezi kupuuzia kazi.
Pia niwataarifu kuwa hakuna kilicho haribika, zaidi ya kuwa itabidi tusogeze week end inayofuata.
Nitaomba sana tuifanya TAR 16 June 2012.
Kwani tarehe zote hizo mbili zilikuwa ni chaguo la awali.
Kila kitu kitakuwa vile vile, kasoro tarehe tu ndio imebadilika
Poleni kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Ila naamini pia ni mapema kuwafahamisha, sijachelewa sana
With Love
Jide
10 comments:
WALA HAKUNA NENO,SANYA SANYA IHESHIMIWE DAIMA
Asante kwakutujuza mamy zote sawa sanya sanya ndo mpango mzima lol
sanya sanya ndiyo kiini cha familia yetu, nasi twakutakia safari njema. 16th is better kwani tuko katika miezi ya siku ya mama nasi tutasherekea pamoja siku yako kuu. Mungu akutangulie.
MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOO
My Dear Kazi Muhimu... Good Luck!!
Mkoa upi unakuja? Kuna consert gani?
mami basi fanya july I beg-ooooo
haina tatizo jide unakuja kwetu kilimanjaro nini karibu sana
USIJALI MAMITOOO
KAZI NDO UHAI GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO dada
Kula mzigo mama,kambi popote ili mradi kunakuletea riziki.Poa kila la kheri,tuko pamoja.
bSanya sanya ndio inatupa dinner usijali Jide sisi penda wewe sana
Post a Comment